Hosea 10:14


14 amngurumo wa vita utainuka dhidi ya watu wako,
ili kwamba ngome zako zote zitaharibiwa:
kama Shalmani alivyoharibu Beth-Arbeli katika siku ile ya vita,
wakati mama pamoja na watoto wao
walipotupwa kwa nguvu ardhini.
Copyright information for SwhKC